Monday, March 7, 2011

Kulikuwa na fursa ya majadiliano

Mkurugenzi wa TTB Dr. Nzuki akiwasilisha mada iliyohusu uandaaji wa Kauli mbiu ya kuinadi Tanzania kama kivutio cha utalii kwa wageni.

Mkurugenzi wa Utalii, Nd Ibrahim Musa akifuatilia majadiliano sambamba na mwenyekiti wa TCT (Tourism Confederation of Tanzania)

Bw Mfugale wa Peacock hotel nae alikuwa na mada ya kuwasilisha ktk mkutano huu

Bw Alfonce Kioko, Mkurugenzi wa Precision Air nae alipata fursa ya kutoa neno ktk mkutano huu.


Wadau mbalimbali walipata fursa ya kushiriki mijadala iliyoletwa mbele kwa majadiliano.

No comments:

Post a Comment