Sunday, March 6, 2011

Baada ya majadiliano kulikuwa na cocktail party

Ili kutoa fursa kwa wadau kuweza kukutana na kubadilishana mawazo ktk mazingira tofauti, waandaji waliaanda cocktail party iliyofanyika hapo hapo double tree by hilton.

Mkurugenzi wa TTB Dr. A Nzuki akibadilishana mawazo na mmoja wa washiriki wa mkutano huo.

Mkurungenzi wa Utalii toka wizara ya Utalii na maliasili Bw. Ibrahim Mussa akibadilishana mawazo wakati wa cocktail party.

mazungumzo baada ya kazi


(picha zote| Mdau Reuben wa ROM Media)

No comments:

Post a Comment