Friday, February 11, 2011

Hot Air Baloon - Serengeti NPhapa ilikuwa ni maeneo ya Seronera tukiwa tunaelekea ukingoni mwa safari ya hot Air Baloon ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Ilikuwa ni safari iliyochukua karibu saa moja na robo, tokea eneo lijulikanalo kama Maasai Kopjes hadi maeneo ya Seronera. Ukisikiliza mazungumzo yangu na pilot wa baloon tuliyopanda (Capt Mohammed) unaweza pata baadhi ya dondoo za hifadhi ya Serengeti.

1 comment:

  1. Nimepitia video ulizoweka ktk blog pamoja na zile zilizopo ktk youtube, ni nzuri kwa kuanzia. ila baadae kuna haja ya kushirikisha wataalam wa mambo ya video ili kuboresha video zako.
    Idea ni nzuri na inahitaji maboresho machache ili izidi kusonga mbele.

    Nakupongeza kwa kazi yako nzuri

    Msambaa

    ReplyDelete