Friday, January 28, 2011

Serengeti MigrationKundi 'dogo' la Nyumbu ambao walikuwa wakihama toka eneo moja kwenda jingine ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Nyumbu huhama mamia kwa maelfu. japo kuwa wanaonekana ni wengi, hawa ni wachache ukilinganisha na makundi mengine unayoweza kuonana nayo. Angalia jinsi wanavyokuwa wanarusha vichwa wakiwa wanatembea. Unajua ni kwanini?

1 comment:

  1. Tafadhali tufafanulie kwa nini wanarusha kichwa
    Mdau

    ReplyDelete