Friday, January 28, 2011

Mlima Kilimanjaro upo wapi?


Tazama Ramani Kubwa Zaidi

Kuna uchakachuaji au ni kwamba account yangu haina rights za kutosha kuona hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwenye google map?

3 comments:

 1. hata mimi sijaona , au ni makosa ya cartographer?kaka blog yako ni matata, mi naifagilia kinoma na imenisaidia katika school projects nyingi, kila la kheri kaka , libeneke oyee, nakutakia afya njema ili uendeee kutupa mambo haya adimu, good luck

  ReplyDelete
 2. hata mimi sijaona , au ni makosa ya cartographer?kaka blog yako ni matata, mi naifagilia kinoma na imenisaidia katika school projects nyingi, kila la kheri kaka , libeneke oyee, nakutakia afya njema ili uendeee kutupa mambo haya adimu, good luck

  ReplyDelete
 3. Hii issue ni serious. nimejaribu hata hapa kwangu (ughaibuni) na kuona kuwa Mlima kilimanjaro haupo ktk google map.


  Kuna haja ya msingi serikali au taasisi husika kuingilia kati, kuna uchakachuaji wa mambo hapa.

  ReplyDelete