Friday, January 21, 2011

Game Walking Safari - Maramboi tented campNi video iliyopigwa mita chache toka Maramboi tented camp kuelekea Ziwa Manyara. Campsite hii ipo pembezoni kidogo mwa Ziwa Manyara ndani ya eneo tengwa lenye wanyama wa porini. sehemu ya kunywea maji unayoiona ni sehemu iliyojengwa na campsite ili kuwapatia maji ya kunywa wanyam wanaoishi eneo hilo. kwa mbali kidogo kulikuwa na kundi la Nyumbu na swala.

1 comment: