Tuesday, December 14, 2010

Tunakaribisha picha na taarifa toka kwenu wadau


Timu ya TembeaTz inawashukuru wadau wote ambao wamekuwa wakishirikiana nayo kwa namna moja au nyingine ktk mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya utalii hapa nchini kwetu.

Milango ipo wazi kwa yoyote mwenye habari kuiwakilisha kwetu kwa lengo la kuiweka hewani ktk blog. Kwa yeyote atakayekuwa na habari yoyote asisite kuituma kupitia tembeatz@gmail.com nasi tutaifanyia kazi haraka iwezekanavyo.

Shukran sana,
TembeaTz Team

No comments:

Post a Comment