Tuesday, December 14, 2010

Ngorongoro crater kuna hoteli 4 tu!

Nazo ni Ngorongoro Wildlife lodge (picha juu), Ngorongoro Serena lodge, Ngorongoro crater lodge na mwisho ni Ngorongoro Sopa lodge. Picha hii imepigwa tokea kwenye balcony ya moja ya vyumba vya Ngorongoro Serena Lodge.

Ukiachia hoteli hizi, Ndani ya hifadhi (nje ya crater lakini) kuna campsite kadhaa ambazo wageni wanaleza kupata malazi wakiwa ktk safari zao Ngorongoro crater. Zipo public na private camp site kadhaa juu ya crater (crater rim). Aidha, maeneo nje ya eneo la NCAA (Karatu) kuna hoteli na campsite kedekede ambazo zinatoa huduma ya malazi na vyakula kwa wageni nyingine zikiwa zipo ktk hadhi ya kimataifa.

2 comments:

  1. Nadhani hotel zilizopo zinatosha sana ili ku-preserve nature

    ReplyDelete