Wednesday, December 15, 2010

Taswira Maridhawa - Mount Meru Hotel, Arusha

The Reception

The Reception

Karibu Champagne Bar

Arabica Coffee Bar

Moja ya sehemu ya kupumzikia wageni iliyopo kwenye eneo la wazi

Kwa wale wanaopenda kuogelea, Bwawa la kuogelea lipo kama kawa

Eneo la mapumziko mahususi kwa wageni wanaohudhuria mikutano

Moja ya vyumba vya hotel vikikupa mandhari mwanana ya eneo la nyuma ya hotel. Eneo la wazi unaloliona kwa nje ni uwanja wa golf uliopo nyuma ya hotel hii.

Kwa habari zaidi kuhusu Hotel ya Mount Meru iliyopo arusha tembelea tovuti ya hotel
http://www.mountmeruhotel.com/facilities
Shukran kwa mdau Mdau Bonny wa Karibu Fair, Arusha kwa taswira na taarifa

2 comments: