Moja ya vyumba vya hotel vikikupa mandhari mwanana ya eneo la nyuma ya hotel. Eneo la wazi unaloliona kwa nje ni uwanja wa golf uliopo nyuma ya hotel hii.
Kwa habari zaidi kuhusu Hotel ya Mount Meru iliyopo arusha tembelea tovuti ya hotelhttp://www.mountmeruhotel.com/facilities
Shukran kwa mdau Mdau Bonny wa Karibu Fair, Arusha kwa taswira na taarifa

Super!
ReplyDeleteawesome
ReplyDelete