Thursday, December 16, 2010

Kingfisher


Ni ndege ambaye mlo wake mkuu ni samaki wadogowadogo. Anavua mwenyewe ndio maana wanamwita King fisher. Kwa kiswahili anaitwaje?... Picha zote ni Selous GR

No comments:

Post a Comment