Thursday, December 9, 2010

Mkasi

Mkasi ndio jina alilopewa mamba na wazee wa pori... Ni kutokana na mdomo wake kushabihiana na mkasi


Picha zote zimepigwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha, pembezoni mwa mto Ruaha

No comments:

Post a Comment