Tuesday, December 21, 2010

Migration ilipokuwa ndani ya Singita Grumeti Reserve hivi karibuniTokea hewaniSingite Grumeti Reserve ni pori tengwa lililopo sambamba na ecosystem ya Serengeti. Kipindi ambacho nyumbu na pundamilia wanapokuwa wanahama, hukatisha ndani ya eneo la Singita Grumeti Reserve. tembelea tovuti yao http://www.singita.com/ kujua zaidi

2 comments: