Thursday, December 16, 2010

Mikumi NP

Wiki kadhaa zilizopita, mdau Thom wa Kima Safaris alikutana na kundi hili la nyati ktk hifadhi ya taifa ya Mikumi, pembezoni mwa barabara kuu iendayo Iringa na kwengineko.
No comments:

Post a Comment