
Baada ya usiku kucha wa kucheza na kufurahi, wadau waliamka na kupata supu na kisha kuendelea na ratiba ya kuitembelea Hifadhi ya taifa ya Mikumi


busy kupata supu kurudisha stamina


Miti unayoiona kwa mbali ipo Mikumi NP na hakuna uzio kati ya hifadhi na campsite. Picha zote toka kwa mdau Abel K.
Haya ndo mambo.People having a real fun other than clubbing.One day I will visit our NP's
ReplyDeleteTatizo ni hizi takataka walizotupa ovyo. Wa-Swahili tujifunze kutunza mazingira. Kutupatupa hizi takataka kunaweza kuwa na madhara kwa wanyama pia, kwa mfano wakimeza viplastiki. Inatakiwa wa-Swahili tujielimishe kuhusu mambo hayo.
ReplyDelete