Monday, November 8, 2010

Mwisho wa safari mzigo hutoka hivi....

Moja ya ndinga mupya za Kima Safaris kwa ajili ya shughuli za kupelekea wageni porini ikionekana baada ya kumaliza mchakato mzima wa kuiandaa kukabiliana na mikikimiki ya porini huku mgeni akiwa raha mustarehe

Hii ni zile zijulikanazo kama warbus, zinazoongezewa uwezo wa kubeba abiria zaidi na kuacha nafasi murua ya miguu na hata kwa mgeni kuweza kusimama wakati wa game drive na kadhalika.

Hapa ni roof ikiwa wazi

Roof ikiwa imefungwa. Shukran ya picha, Kima Safaris

No comments:

Post a Comment