Tuesday, November 2, 2010

Serengeti Wild Camp

2 comments:

  1. clip ina maelezo mazuri kwa sisi ambao hatujawahi fika huko. tuwekee clip zaidi za namna hii

    Na ushauri wa bure kwa tembea ni kuwa na video clips ambazo mmetengeneza wenyewe kwa maudhui ya kitanzania. picha zenu ni nzuri lakini pia video hueleza zaidi. unaziweka youtube na kuzilink huku.

    Nina uhakika mkifanya hivyo mtatupa uelewa zaidi kwa maana hata sasa nimepata hamasa ya kujua zaidi kuhusu national parks zilizopo nyumbani. Bahati mbaya sikuwahi kutembelea hata moja

    Mdau Norway

    ReplyDelete