Wednesday, October 6, 2010

wa juu, Serengeti

taswira hizi ni ushahidi mwingine wa kuthibitisha uhalali wa jina la wa juu kwa chui. mara nyingi mnyama huyu hukutwa na wadau akiwa juu ya miti au vichaka.

hapa alikutwa juu ya mti ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti

No comments:

Post a Comment