Wednesday, October 6, 2010

Ukizubaa tu....

utashinda njaa safari yako yote...
pick nick site nyingi huwa zinakuwa na 'un-invited guests' ambao wanaweza wakakushindisha njaa endapo usipokuwa makini na chakula chako. Ngedere huwa hawachezi mbali na sehemu hizi kwani wanajua hatatoka patupu.

Picha hizi zimepigwa Matete picknick site, hifadhi ya taifa ya Tarangire

No comments:

Post a Comment