Tuesday, October 5, 2010

Mto Seronera, Serengeti NP

Moja ya mabwawa ya viboko (hippo pool) lililopo ktk mto Seronera, Ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Ahsante ya taswira kwa mdau Tom wa Kima Safaris. Bwawa hili lipo maeneo ya Seronera

No comments:

Post a Comment