Saturday, September 11, 2010

Unaliona jiji tokea ukiwa kitandani

Unapofikia ktk hoteli zilizopo katikati ya miji na kupata chumba chenye view nzuri ya mji, unapata fursa ya kuuona mji uliouzea katika muonekano tofauti. Picha hii niliipiga tokea Mc-Elly's hotel Arusha mjini

No comments:

Post a Comment