Friday, September 17, 2010

Uliomshinda bwana afya

Ukikuta mabaki ya mifupa namna hii ktk hifadhi, ujue hilo ni fupa lilimshinda fisi aka bwana afya. Picha hii ilipigwa hivi karibuni na mdau huko pori la akiba la Selous

No comments:

Post a Comment