Friday, September 17, 2010

Jinsia ya bwana afya

Licha ya mengi uliyowahi yasikia kuhusu bwana afya, moja ambalo yawezekana wengi hamjalisikia ni kuhusu maumbile ya sehemu za uzazi za bwana afya dume na jike kufanana..

With the exception of size, there is little sexual dimorphism in spotted hyenas. The external genitalia of females closely resemble those of males: the 15 cm (6 inch) clitoris is similar in shape and position as a penis, and is capable of erection.........

Bofya hapa ujue zaidi. Picha juu ni bwana afya akiwa ndani ya Ngorongoro crater hivi karibuni

2 comments:

  1. Duh! bwana afya nilikuwa namuona mjinga mjinga lakini kumbe mimi ndio nilikuwa mjinga - kwa kutukujua mambo mengi zaidi kuhusu mnyama huyu.

    Ahsante KK na wadau wote wanaotoa stories kwa ajili ya blog hii. Wadau wa mambo haya tupo pamoja nanyi, endelezeni libeneke kama kawa

    ReplyDelete
  2. Mimi nilijua mabwana Afya ni watumishi wanaofanya kazi za umma, kumbe ni fisi!

    ReplyDelete