Sunday, September 19, 2010

Superb Starling, Tarangire NP

Ni ndege ambae rangi zake huwa zinanivutia sana machoni mwangu na natumai machoni mwa wadau wengi pia. Hupatikana kwa wingi katika hifadhi zilizopo hapa nchini na ni watulivu. Anaweza kukusogelea karibu bila ya uwoga. Huyu alikuja karibu na sehemu tuliyokuwa tumekaa wakati tukipata msosi Matete picnic site, Tarangire NP

No comments:

Post a Comment