Sunday, September 19, 2010

Sausaga tree

Ni mmoja ya miti ambayo inapatikana katika hifadhi nyingi za hapa nchini.

Hifadhi ya taifa Ruaha

Kwa kiswahili mti huu unaitwaje? Wanyama wengi hupendelea kula matunda yake ambayo yanafanana na Sausage.

3 comments:

 1. Nimejaribu kwenda google kupata maana ya neno sausage kwa kiswahili, jibu nililolipata huko nimechoka.. Kusagwa...

  http://translate.google.com/#en|sw|Sausage

  ReplyDelete
 2. Huu mti, matunda yake (yakishakauka) ndiyo yanayotoa yale ma-dodoki ya kujisugulia, ni laini huwezi kuamini. Kwa wale waliokulia ushergo (shamba/kijijini) kama mimi watakubaliana nami.

  ReplyDelete
 3. hapana si kweli huu sio mmea unaotumika kutengeneza madodoki.Madodoki yanatokana na mmea mwingine ambao unatambaa kama Cucumber plant(matango yanayoliwa)

  ReplyDelete