Hawa jamaa sio waoga, ukienda Serengeti na ukatembelea kituo cha taarifa mbalimbali kuhusu hifadhi ya Serengeti utawakuta wapo wa kutosha tu. wakati mwingine itakulazimu wewe uwapishe au uwakwepe kwa maana wao sio waoga kabisa. Huyo hapo pembeni yangu alikuwa katulia tuli na tukapiga wote snepu. picha toka maktaba ya TembeaTz
Inaelekea hapo wewe ndio ulikuwa unamuogopa. ukasahau kabisa zoezi la kumwangalia kameraman wakati anakupiga picha
ReplyDeleteNimeipenda mandhari ya hilo eneo
Mdau SM,
Salasala