Tuesday, September 7, 2010

Migration ikiwa Kusini mwa Serengeti

Mwaka Jana mwezi Mei, Kikosi cha TembeaTz kilkutana na kundi hili la Nyumbu na pundamilia likiwa maeneo ya kusini mwa hifadhi ya taifa ya Serengeti. Hapo lilikutana simba dume (hayupo pichani) ambae aliwaganya nyumbu hao ktk makundi mawili huku yeye akiwa katikati yao.
umbali ambao Sharubu huyo alikuwapo pamoja na kujificha ktk nyasi kulitufanya tushindwe kung'amua taswira yenye Sharubu huyo.

Kundi hili lilikuwa limetapakaa sehemu kubwa ya enao hili la Kusini ambako ni wazi, uwanda wa nyasi.

No comments:

Post a Comment