Tuesday, September 7, 2010

Kuelekea Ngurdoto Crater, Arusha NP

Unapotoka Ngurdoto Museum na kuanza safari ya kuelekea Ngurdoto crater, unapita eneo ambalo lina miti mirefu ambayo inafunika kabisa eneo unalopita. Hali hii inatoa mandhari mwanana uwapo njiani. Safari ya kuelekea Ngurdoto crater ni mwinuko, hivyo kuna sehemu utakutana na mwinuko.No comments:

Post a Comment