Monday, August 23, 2010

Taswira maridhawa - Tarangire

Taswira zote zimepigwa toka ktk kingo za Matete Picnic site




Matete picnic site ipo kwa juu ambako ukienda kwenye kingo zake unapata mandhari mwanan ya mto Tarangire na sehemu kubwa ya eneo la hifadhi likionekana tokea juu.

No comments:

Post a Comment