Tuesday, August 24, 2010

Ziwa Manyara toka Kibaoni

Ziwa Manyara likiwa linaonekana kwa mbali tokea eneo la kibaoni. Njia ya lami inayooneka hapo juu ni njia iendayo Babati mpaka Dodoma toka Arusha.

Linaonekana chini ya hizo kingo za bonde la ufa. Picha zote toka Maktaba ya TembeaTz

1 comment:

  1. kaazi nzuri mdau

    Tunashukuru kwa kurudi kwako hewani tena kwa spidi ya kuridhisha

    ReplyDelete