Monday, August 2, 2010

Flightlink Air Charters

Usafiri wa anga toka/kwenda mikoa ya Dodoma, Iringa na Mbeya sasa umepata mdau. Flightlink Air charters wameanzisha huduma ya safari za ndege kwenda mikoa hii. Tembelea tovuti yao upate kujua mpango mzima upoje


Sambamba na kwenda mikoani Flightlink Air Charters pia inatoa huduma za usafiri wa anga kwenda ktk mbuga na hifadhi mbalimbali zilizopo hapa nchini

Bofya hapa ili upate dondoo za ndege ambazo kampuni ya Flightlink inazimiliki na kuzitumia ktk shughuli zake.

1 comment: