Sunday, April 18, 2010

Wanaofuga kuku wa kienyeji wanajua vurugu zake

Kama umewahi kujishughulisha kufuga kuku wa kienyeji ktk eneo ambalo Kenge wapo karibu, basi sekeke lake huyu mdudu kwa mayai ya kuku utakuwa unalielewa vyema. Akiingia ktk banda yeye zake ni mayai tu. Humeza yai kama lilivyo na kulifikisha usawa wa koo, kenge hutunisha misuli yake ambayo mara moja hulipasua yai. Hunywa ule ute wa yai na kisha maganda yake huyatema na kuambaa zake.

No comments:

Post a Comment