Monday, April 12, 2010

Speke's Weaver

Anapatikana zaidi ktk hifadhi na mapori ya ukanda wa kaskazini. sehemu nyingine wapo wengine ambao wanafanana nae.

Picha zote juu ni Ngorongoro crater, pembezoni wa Ngoitoktok

Bofya hapa kupata dondoo zaidi za huyu ndege.

No comments:

Post a Comment