Monday, April 12, 2010

Barabara zetu: Dodoma - Singida

Hii ni sehemu tu ya barabara inayoelekea Singida toka Dodoma. Inapoanzia ni 2 way lakini nje kidogo ya Dodoma inaendelea kwa style ya kuwa single lane.

Lami inabaki kutawala sehemu ya kutosha ya barabara hii, japo huko mbele kuna kipande bado kipo kwenye matengenezo.

No comments:

Post a Comment