Monday, April 12, 2010

Barabara zetu: Chalinze Moro

Barabara ya Morogoro road, kipande cha kutokea Chalinze mpaka Moro.
Hapa ni lile eneo maarufu kama Ubena Zomozi, vilima vile vya kupanda na kushuka!

Ubena Zomozi

Hii ni moja ya barabara kongwe na muhimu sana kwa uchumi wa taifa letu. Ndio barabara ambayo inatumika sana kusafirishia mizigo toka na kuja Dar. Sekta zote Muhimu zinategemea sana hii barabara. Utalii nao unaitegemea pia barabara hii kama vile zilivyo barabara nyinginezo zinazoelekea kwenye vivutio mbalimbali.

No comments:

Post a Comment