Monday, March 29, 2010

Ni Sanje waterfalls, Udzungwa mountains NP

Haya ni maporomoko ya maji yaitwayo Sanje Waterfalls yaliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Udzungwa Mountains national park. Awali tuliweka picha na kuwapa wadau kitendawili, ni mdau mmoja tu ndio aliyetoa jibu na kwa bahati mbaya hata yeye hakutoa jibu sahihi.

Ni Maporomoko ya maji yanayopata kufikia mita 180.

Ahsante ya picha kwa mdau toka TTB

No comments:

Post a Comment