Friday, March 19, 2010

Maporomoko ya maji: Uru-Kishumundu, Moshi

Mkoa wa Kilimanjaro, umebarikiwa kuwa na maporomoko kadhaa ya maji Picha hizi zinakuonyesha ambayo yanapatikana Uru, Kishumundu. Licha ya kwamba wengi wanayajua na kuyaona yale ya Marangu Mtoni (ukiwa njiani kwenda kupanda mlima), haya nayo pia yapo japo 'hayavumi'. Ni moja ya maporomoko makubwa ambayo yapo karibu na mji wa Moshi.




Ahsante ya taswira kwa Mdau JKy.

1 comment:

  1. uru kishumundu is the among the beautiful and the most peaceful places to live and relax. the people around uru kishumundu are peacefull people and love harmony among each other.
    HAIKA RUWA for being among the chagga people and proud of being a chagga lady

    ReplyDelete