Kauli hii inabeba maana ya kwamba kufika Uhuru point (kilele cha mlima Kilimanjaro), mpandaji hatakuwa na haja ya kutambaa au kupanda kwa msaada wa kamba au kutumia vifaa maalum kama ilivyo ktk milima mingine huko bara Ulaya. Nina uhakika si wengi wetu tunayo hii dondoo kuhusu Uhuru peak na Mlima Kilimanjaro kwa ujumla.
Tusiishie kujivuna kuwa mlima huu upo Tanzania, tujipange kuupanda pindi tupatapo nafasi.
Tusiishie kujivuna kuwa mlima huu upo Tanzania, tujipange kuupanda pindi tupatapo nafasi.
No comments:
Post a Comment