Thursday, March 18, 2010

Mwanzo wa werevu ni kuuliza.......

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, niliwahi kusikia kwamba Pofu ana miiko yake kama ukitaka kumuwinda. nadhani kama tungepata wawindaji wangeweza kutuambia. Nilisikia kuwa ukitaka kumuwinda pofu siyo rahisi kihivyo, yaani si kama unavyoweza kuwinda digidigi au nyumbu na wengineo. Kuna ukweli???

Mdau DSM

6 comments:

  1. HATA MIMI NIMEKUWA NIKISIKIA HICHO KITU ILA SIELEWI LOJIKI BIHAINDI, WADAU WATUSAIDIE.

    MWENYEJI

    ReplyDelete
  2. thanks for sharing mkuu to be honest nimekuwa inlove na nchi yangu kupitia hii blog yako ya tembea,keep doing what you do best nikirudi home lazima nitatembelea vivutio vya nchi yangu thanx.

    ReplyDelete
  3. Pofu huwindwa kama wanyama wengine wanavyowindwa. Unachotakiwa
    1) Uwe na leseni ya kumuwinda.
    2) Neda porini kumwinda na ukimpata mpige risasi na umchinje.
    Hana miiko yeyote ila kupatikana kwake huwa adimu si kama wanyama wengine.

    ReplyDelete
  4. ndio kaka mzima wewe mie pia,tunaridhishwa na kazi yako kaka,
    Sasa kweli namwonaga pofu kwenye picha ila sijui anapatikana pori gani,je anapatikana pori gani?

    ReplyDelete
  5. Nimevutiwa sana na hii blog maana inatoa mwanga kwa mtu yeyote anayetaka kufahamu zaidi kuhusu mbuga na hifadhi za wanyama wanaopatikana katika buga zetu Tanzania.nakutakia kazi njema yenye mafakio kwa njia inaonyesha mwelekeo wa kusonga mbele kimaendeleo.

    ReplyDelete
  6. ana miiko yake kiasi.
    1.Anambio sana na anasixth sense ya ajabu na anona mbali.
    2.Ukishampiga pofu usiwe na ulaku wa wanyama wengine kwani pancha zitaanza,spring utavunja then nyama utatupa kwani haimudu zaidi ya masaa 5 na ukumbe ni kg 800 na upuuzi.
    3.Hupenda sana kukimbilia milimani hivyo u have to be a crack shot.
    4.Usipompiga vital organ anweza akakimbia na miguu mitatu mpaka Ruanda.

    ReplyDelete