Thursday, March 25, 2010

Acacia Tree



Acacia tree kwa kimatumbi inaitwaje? Picha zote zimepigwa Lake Manyara Serena lodge.

3 comments:

  1. Acacia tree kwa kimatumbi ni mgunga.

    ReplyDelete
  2. Pia kuna aina mbalimbali za migunda. Kuna kijiji kimoja katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kinaitwa Shri- Mgungani. Eneo hilo zamani kabla wawekezaji hajarika kulikuwa na miti hiyo mingi ingawa ni specie tofauti na hii inayoonekana katika picha hizi

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu umepatia inaitwa mgunga.

    Kuna kijiji kimoja wilayani Siha kinaitwa Magadini ndipo nilipofahamu jina la miti hii

    ReplyDelete