Wednesday, February 10, 2010

Watch my back - mugongo mugongo

Watch my back while I watch yours. huu ni mkao ambao Pundamilia hupenda kuutumia ili kujihakikishia usalama wao.
ukikuta kundi, utaona baadhi wanaendelea kula na baadhi wanaangalia usalama wa wenzao kwa style hii ya mugongo mugongo
Ruaha national Park. Ahsante ya taswira - TTB

No comments:

Post a Comment