Sunday, February 7, 2010

Tembea uone

Ukifika Oludapai Gorge, moja ya vitu vitakavyokustaajabisha ni hili 'jiwe' la kumbukumbu ya huyo jamaa. huyu jamaa amejizolea umaarufu duniani kwa ku-trot (mchaka mchaka) kwa umbali mrefu akivuka mipaka ya nchi hadi kuja kuishia Kaskazini mwa Tanzania.

Bofya hapa kupata dondoo zaidi za huyu jamaa na mizunguko yake

No comments:

Post a Comment