Monday, February 15, 2010

Taswira toka milima ya Upareni

Baadhi ya taswiraz murua toka milima ya Upareni, Mbagga. Hii njia ni ile inayotokea Kisiwani.


Rangi ya kijani ilikuwa imeshika hatamu kila kona.

Jamaa wanatunza mazingira vilivyo, miti kila kona. Hali ambayo inaleta mandhari nzuri na hali ya hewa safi kweli kweli.

Huku milimani mito ndio inapita juu ya barabara kama reli ya treni.

Eneo la Kisiwani linavyoonekana ukiwa milimani.

Hapa ni Kisiwani baada ya kushuka toka milimani. Siku hii mvua ilikuwa imenyesha kiukweli

2 comments:

  1. THIS IS SOOOOOOO CUTE....beutiful...thanks for sharing....Viva pare land

    ReplyDelete