Tuesday, February 9, 2010

picha mseto - Ngedere na nyani

Ukiwa unapiga misele ukakutana na kundi la Ndegere au Nyani, ushauri wa bure ni kwamba park gari lako na anza kuliangalia kundi kwa muda. hauta pita muda mrefu watafanya kituko kitakachokuacha mdomo wazi au kukuvunja mbavu.




Miguu yao ya nyuma ni mirefu kushinda 'miguu' ya mbele ili kuwawezesha kuruka toka mti mmoja kwenda mti mwingine.

Mitini ndio kwao

No comments:

Post a Comment