Kwa kuwa eneo lipo ktk njia ambayo hutumiwa na wageni wengi (wa ndani na wa-nje) wanaodhuru vivutio vya kaskazini, sekta ya fedha haipo nyuma ktk kuchangamkia fursa hii. hapa credita cards zote za kimataifa zinatumika. wewe tu kuhakikisha kuwa card yako ina salio la kutosha. picha juu ni tawi la NBC, lakini EXIM na wengine wapo pia.
No comments:
Post a Comment