Wednesday, February 3, 2010

DOKEZO :: April 2010

Nia na madhumuni ya dokezo hili ni kukuhabarisha kuwa April ya mwaka huu imekaa vyema kwa wale wadau ambao hupendelea kufanya outdoor activities. lakini wanakuwa wanakosa nafasi kutokana na kubanwa na shughuli za uzalishaji mali.

Kwa Mujibu wa kalenda ya hapa nyumbani (picha juu) kuna sikukuu kadhaa zilizofuatana ambazo zinatoa nafasi kwa kufanya safari ya porini bila wasiwasi.
2nd April - Good Friday
5th April - Easter Monday
7th April - siku ya Karume Day

Dondoo za uhakika ambazo tembeaTz imezipata ni kwamba kuna wadau ktk sekta ambao wako chimbo wakiandaa trip kabambe ya porini kwa wadau wazalendo watakaopenda kutembelea mbuga au hifadhi itakayochaguliwa. Stay tuned to TembeaTz kwa dondoo zaidi kuhusu hili jambo

Tembea TZ

No comments:

Post a Comment