Wednesday, January 13, 2010

Mitaa ya kati - Bagamoyo

Ikiwa ni jitihada za kuvutia na kuboresha utalii huko bagamoyo, kuna baadhi ya mitaa imepigwa soap soap kwa kuwekewa pavements kama uonavyo picha juu na chini.


No comments:

Post a Comment