Monday, January 4, 2010

Heri ya mwaka mpya

Squad ya TembeaTZ inapenda kuchukua fursa hii kuwatakia heri na fanaka ktk mwaka mpya wa 2010 wadau wake wote. Tumuombe mwenyezi mungu atujalie mema na neema kwa mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment