Thursday, November 5, 2009

Golini




Kama umewahi kusafiri kwa gari kutoka ngorongoro kwenda serengeti, basi lazima utakuwa umepita sehemu hii ambayo ni maarufu kama 'Golini'. hapo ndio mwisho wa Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) na mwanzo wa Serengeti National park.

1 comment:

  1. Blog yako ni murua sana Kaka, nitakuwa natembelea hapa mara kwa mara. Ahsante sana.

    ReplyDelete