Friday, November 20, 2009

Mtalii ni nani??

nani anastahili kuitwa mtalii? ni mambo yepi mtu anatakiwa kuyafanya ili aitwe mtalii na sio msafiri?
Uraia wa mtu unahusika vipi na mtu kuwa mtalii au sio mtalii?
Uwepo wa mtu katika eneo fulani kunakufanya wewe kuwa mtalii?

2 comments:

  1. mtalii ni mtu yoyote anayetembelea sehemu fulani na kutumia zaidi ya saa 24 katika sehemu hiyo ambayo ni nje na makazi yake ya kawaida kwa hiyo mtalii sio lazima awe raia wa kigeni

    ReplyDelete
  2. mtalii ni mtu yoyote anayetembelea sehemu fulani na kutumia zaidi ya saa 24 katika sehemu hiyo ambayo ni nje na makazi yake ya kawaida kwa hiyo mtalii sio lazima awe raia wa kigeni

    ReplyDelete